WANYAMA
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA SUNDELAND WAKUA KWA KASI
Ushirikiano mzuri ulioanzishw natanzania na sundeland leo
umeendelea kudumishwa baada ya clab hiy kuahidi kujenga uwanja wa
michezo jijini dar katika eneo la kidongoo chekundu.
MKURUGENZI
HUYO KUTOKA SUNDELND AKIMKABIDHI ALOYSE NYUKI AMBAYE NI MKURUGENZI
MTENDAJI W BODI YA UTALII TANZANIA JEZI YA TIMU YAKE KWA ISHARA YA
USHIRIKIANO MWEMA JEZI HIYO IMESAINIWA NA WACHEZAJI WA SUNDELAND
No comments:
Post a Comment