
Kikosi kazi kazi hiko cha FFU-ughaibuni kikiwa na madansa wao wawili Jessicha Ouyah na Sara Fina waliweza kulimudu jukwaa na kuwadatisha akili washabiki. Ngoma Africa band ipo katika medani ya muziki kwa takribani miaka 22 sasa na kuweka rekodi ya bendi pekee ya Kiafrika barani Ulaya inayodumu muda mrefu na kuwanasa washabiki wa kimataifa. wasikilize at www.ngoma-africa.com
Kamanda Ras Makunja akiongoza gwaride jijini Bremen

Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni wakipiga kwata Bremen

Ukumbi wa Bugerhaus Weserterasse ukiwashwa moto na FFU Ughaibuni
No comments:
Post a Comment